WANANCHI WOTE WA TANZANIA BARA NA VISIWANI ,
MNATANGAZIWA NAFASI ZA KUJIUNGA UANACHAMA WA ASASI YA TEFT.
YEYOTE ANAYE KIDHI VIGEZO VYA KUWA MWANACHAMA WA ASASI HII KAMA VILIVYO ORODHESHWA HAPO CHINI, PASIPO KUJALI PAHALA ULIPO UNAWEZA KUJIUNGA NA ASASI HII KWA HIARI / UTASHI BINAFSI KAMA ILIVYO KATIKA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA 1977 KAMA ILIVYO FANYIWA MAREKEBISHO MNAMO MWAKA 2005 KIFUNGU CHA 20 (i).
ZIPO FAIDA NYINGI ZA KUJIUNGA NA ASASI HII BAADHI YA FAIDA HIZO IKIWA NI PAMOJA NA,
KUKUZA UCHUMI KWA KUINUA KIPATO.
KUPATA KINGA YA KUTO ONEWA NA MTU, SERILKALI AU CHOMBO CHOCHOTE CHENYE MAMLAKA ISIPOKUWA KWA MUJIBU WA SHERIA.
KUUNGANA NA WANAJAMII WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINADAMU KOTE DUNIANI NA HIVYO, KUJENGA UJASILI KUTENDA MAMBO MBALIMBALI YA KIMAENDELEO PASIPO KUWA NA WOGA KUTOKANA NA UFAHAMU MKUBWA WA MASUALA UNAYO YAFANYA.
KUPATA NAFASI YA KUJITOLEA KUSAIDIA JAMII ZA WATU WASIO JIWEZA IKIWA NI NJIA MOJAWAPO YA KUTIMIZA AMRI ZA MWENYEZI MUNGU NA HIVYO KUTUNUKIWA BARAKA TELE.
KUPATA FURSA YAKINIFU YA KUJISHUGHULISHA MUDA WOTE IKIWA NI MOJA YA KINGA MADHUBUTI YA KUJIHUSISHA NA VITENDO VIOVU
KUPATA AJIRA, KUKUZA MAHUSIANO BAINA YA WANAJAMII NK.
IWAPO WEWE NI MTANZANIA, MTU MZIMA, NA MWENYE AKILI TIMAMU, PASI KUJALI TOFAUTI YA RANGI, KABILA, ULEMAVU, ELIMU, KAZI NA kHALI YOYOTE YA KIUCHUMI,
UNAWEZA TUMA MAOMBI YA UANACHAMA ILI KUPATA NAFASI.
HATA HIVYO, UTARATIBU WA KUOMBA UANACHAMA KATIKA TEFT, NI KAMA IFUATAVYO:
lAZIMA KUTUMA MAOMBI KWA BARUA AU KWA MDOMO, BAADA YA KUPOKELEWA MAOMBI HAYO, OFISA WA TEFT MWENYE MAMLAKA YA KUFANYA UTHIBITISHO WA UANACHAMA KATIKA TAWI HUSIKA ATAKUPATIA FOMU YA MAOMBI YA UANACHAMA ILI TAARIFA ZAKO NA UTHIBITISHO WA MAOMBI YAKO UWEPO KATIKA MAANDISHI KAMA KUMBUKUMBU YA KUDUMU.
FOMU YA MAOMBI ITAJAZWA KWA GHARAMA YA SH. 5,000,/- TSHS, NA BAADA YA FOMU HIYO KUTHIBITISHWA NA OFISA HUSIKA NA MWENYE MAMLAKA, HATUA ITAKAYO FUATA ITAKUWA NI KULIPA KIINGILIO CHA UANACHAMA KWA GHARAMA YA SH. 30,000/- TZS. NA BAADA YA HAPO KULIPIA GHARAMA ZA VITAMBULISHO NA SARE YA ASASI.
IWAPO UNA DUKUDUKU LOLOTE JUU YA UHARALI WA OFISA YEYOTE ATAKAYEKUWA AMEJITAMBULISHA KWAKO KWA SHUGHULI YOYOTE YA ASASI HII, USISITE KUTOA TAARIFA KWA KUPIGA SIMU NA. 0784 161126. UTAPOKELEWA HARAKA, NA BAADA YA KUJITAMBULISHA KWA ALIYE POKEA SIMU YAKO, UTAELEZA SHIDA YAKO MARAMOJA NA UTAHAKIKISHIWA HUDUMA BORA NA YENYE UHAKIKA.
WASIO NA UFAHAMU JUU YA UTENDAJI WA SHUGHULI ZA TEFT , WATAPEWA MAFUNZO ELEKEZI.
MALIPO YOTE YATAFANYIKA BENKI YA CRDB. KATIKA AC. NA. 01 J 209 1338700 , JINA LA AKAUNTI NI JINA LA ASASI HII.
TANZAZO HILI LIMETOLEWA NA UTAWALA, MAKAO MAKUU.
Membership restriction (End of membership)
Any member of TEFT shall lose His/Her right to membership (Dismissal) by the following cases.
(i) Death or Fall into Mental disability.
(ii) Resigning
(iii) Failure to Pay Membership fees.
(iv) Failure to attending any official meeting 3 times consequently without information to the authority.
(v) Being found guilty in some indiscipline cases such as; theft and other criminal offenses.
(vi) Even thought any member who shall fall into above statement except a, b and c shall be discussed by the Executive Committee and there after to the annual general assembly for further steps before dismissal
04.0 MEMBERSHIP
04.1 Membership of TEFT shall be open to;
(i) Any Tanzanian (Male and Female ) aged 18 years and above.
(ii) One who is mentally Fit.
(iii) One who has no record of Criminal Offenses
(iv) One who is able read and write.
04.2 Membership Recruitment Procedure:
(i) Any person who wish to join the Organization as a member shall have to apply in own written statement either, or verbaly, there after He/She will be given a form to fill in order of getting his/her Particulars (CVs.). Furthermore the client shall get a reply his/her application after being discussed by Executive Committee.
(ii) If the applicant has been accepted shall have to fulfill the following requirements in order to be a perfect member.
· Shall have to pay an entry fee.
· To pay Annual Membership fees.
· An ID card of the Organization shall be offered to every member.
· Further more, the aspirant for membership shall given a chance to know some of the rules and regulations of the organizatio
Any perfect member shall have the right to contest for leadership moreover, shall have the right of one vote when voting for somebody else and him-self.
Download the membership application form
No comments:
Post a Comment